CorrectBot:Confessing Sins and Repenting/sw
Results for this CorrectBot run of Confessing_Sins_and_Repenting/sw: 9 corrections, 0 suggestions, 0 warnings (for older reports see report history)
Corrections
9 corrections:
- Ensure correct Swahili quotes (example: “quote”) (6x)
- When finding a normal dash ( - ) surrounded by spaces: Make long dash ( – ) out of it (1x)
- Correct mediawiki links (1x)
- Correct filename (according to title) (1x)
The following changes were made by CorrectBot - you don't need to do anything about them, this is just for your information. You can also look at the version history of Confessing_Sins_and_Repenting/sw and compare revisions.
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/2/sw
− | Badala ya kuukabili ukweli, mara nyingi sisi hutenda katika mojawapo ya njia tatu. 1) Tunapuuza shida. Tunafagia kila kitu chini ya zulia na kujaribu kuficha dhambi. Tunafanya kana kwamba hakuna kilichotokea, ama kwa sababu tunajivunia sana kuomba msamaha au kwa sababu tuna aibu.<br />Au 2) tunajilinganisha na wengine na tunahitimisha kuwa wao si bora kuliko sisi: “Sio mbaya hivyo. Sisi sote ni binadamu. | + | Badala ya kuukabili ukweli, mara nyingi sisi hutenda katika mojawapo ya njia tatu. 1) Tunapuuza shida. Tunafagia kila kitu chini ya zulia na kujaribu kuficha dhambi. Tunafanya kana kwamba hakuna kilichotokea, ama kwa sababu tunajivunia sana kuomba msamaha au kwa sababu tuna aibu.<br />Au 2) tunajilinganisha na wengine na tunahitimisha kuwa wao si bora kuliko sisi: “Sio mbaya hivyo. Sisi sote ni binadamu.” Mwisho, 3) tunajihesabia haki kwa kulaumu hali au mambo ya zamani na kusema hatukuwa na chaguo jingine: “Singeweza kujizuia!” |
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/6/sw
− | Kwanza, neno “dhambi” linatumika katika maana ya jumla kumaanisha mamlaka inayotawala juu ya dunia na juu ya watu. Dhambi hututega katika mawazo na tabia mbaya. Lakini Mungu hutupatia njia ya kupata uhuru kutoka kwa nguvu za dhambi. Ikiwa tutachagua njia yake, atatupa maisha mapya | + | Kwanza, neno “dhambi” linatumika katika maana ya jumla kumaanisha mamlaka inayotawala juu ya dunia na juu ya watu. Dhambi hututega katika mawazo na tabia mbaya. Lakini Mungu hutupatia njia ya kupata uhuru kutoka kwa nguvu za dhambi. Ikiwa tutachagua njia yake, atatupa maisha mapya – tunakuwa “kuzaliwa upya”. |
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/7/sw
− | Ikiwa hujazaliwa mara ya pili au huna uhakika: Pitia laha-kazi “[[ | + | Ikiwa hujazaliwa mara ya pili au huna uhakika: Pitia laha-kazi “[[God's Story/sw|Hadithi ya Mungu]]” na “[[Baptism/sw|Ubatizo]]” ambazo zinaelezea mchakato wa kuzaliwa upya kwa kina. |
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/8/sw
− | Pili, neno | + | Pili, neno “dhambi” linaweza kurejelea ukiukaji mahususi, wa mtu binafsi wa maagizo ya Mungu. Yeye peke yake ndiye mwenye haki ya kufafanua lililo jema na lililo baya. Ameweka sheria zinazotumika kwa ajili ya ulinzi wetu wenyewe. Dhambi si tu kuhusu tabia. Matendo yetu kwa kweli yanatokana na mawazo yetu na matamanio yetu. Yesu anafafanua hili katika Mathayo 5:27-28: |
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/9/sw
− | + | “Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; 28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.” |
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/10/sw
− | Mungu anataka tuwe wakamilifu (Mathayo 5:48). Hiyo ina maana si tu juu ya kuepuka mabaya, lakini pia kuhusu kuchukua jukumu la kufanya mambo yanayofaa: <i>“Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi. | + | Mungu anataka tuwe wakamilifu (Mathayo 5:48). Hiyo ina maana si tu juu ya kuepuka mabaya, lakini pia kuhusu kuchukua jukumu la kufanya mambo yanayofaa: <i>“Basi yeye ajuaye kutenda mema, wala hayatendi, kwake huyo ni dhambi.” </i> (Yakobo 4:17).<br />
Kwa muhtasari, dhambi ni mawazo, maneno, na matendo yote ambayo ni kinyume na kiwango cha Mungu. |
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/28/sw
− | ;Dhamiri zetu
:Kama sauti ya ndani, dhamiri yetu inaweza kutuonya tunapokaribia kuvunja sheria. Inaundwa na mazingira tuliyokulia na kile kilichochukuliwa kuwa | + | ;Dhamiri zetu
:Kama sauti ya ndani, dhamiri yetu inaweza kutuonya tunapokaribia kuvunja sheria. Inaundwa na mazingira tuliyokulia na kile kilichochukuliwa kuwa “sawa” na “kibaya”. Lakini hizo si lazima zipatane na viwango vya Mungu. Hii ina maana kwamba hatuwezi kutegemea tu dhamiri yetu. Nyakati nyingine dhamiri yetu inaweza kutupa tahadhari za uwongo, ilhali katika maeneo mengine inaweza kuwa shwari na hivyo isituonye hata ikiwa jambo fulani ni dhambi machoni pa Mungu. Tunahitaji kuangalia na Mungu ikiwa anaona kitu kama dhambi, na kumwacha abadilishe mawazo na hisia zetu ipasavyo. |
Translations:Confessing_Sins_and_Repenting/35/sw
− | + | Kuungama_Dhambi_na_Kutubu.odt |