Translations:Dealing with Money/34/sw

Weka malengo juu ya jinsi utakavyotumia kile Mungu alikuonyesha leo.Uliza mkufunzi mzuri kwa msaada katika hilo.Tafuta mtu ambaye ni wazi, mwenye busara na sio kuuza bidhaa tu.