Translations:Dealing with Money/35/sw

Vizuizi vikubwa katika kujifunza kukabiliana na pesa kwa njia nzuri mara nyingi hupatikana mioyoni mwetu.Ili kuwa huru, pitia karatasi za kazi "[[kukiri dhambi na kutubu | Kukiri dhambi na kutubu]" na "[[Kuondoa lensi za rangi | kuondoa lensi za rangi]" pamoja na msaidizi.(Anza na swali: "Mungu, kupitia glasi gani ninaona pesa?" )