Translations:Hearing from God/32/sw

Kuna baadhi ya maswali ambapo ni rahisi kusikia majibu ya Mungu (Mifano: “Mungu, ni nani ninayehitaji kumsamehe?” “Unaona wapi dhambi maishani mwangu na unataka nitubu?”)