Translations:Hearing from God/34/sw

Wakati mwingine tunakwama katika kuuliza maswali ya “Kwa nini?”. Mara nyingi hizi sio msaada kwa maisha yetu ya sasa na ukuzi wetu. Au hatukuweza pokea jibu ndio maana Mungu asitupe.