Translations:Hearing from God/51/sw

Je, ninaelekea upande gani kati ya hizi njia mbili kali? Asili hii inatoka wapi? Je, ninawezaje kuwa huru kutokana na hilo na kushughulika kwa afya zaidi na sauti ya Mungu?