CorrectBot:Baptism/sw

Results for this CorrectBot run of Baptism/sw: 3 corrections, 1 suggestions, 0 warnings (for older reports see report history)

Suggestions

1 suggestions:

• Fix wrong capitalization at the beginning of a sentence or after a colon. (1x)

Look at the following suggestions. If you find good ones, please correct them manually in the translation view

Translations:Baptism/6/sw

Neno “ubatizo” linamaanisha “kuzamisha” kama utakaso au kuosha. Kama vile Yesu alivyobatizwa, kila mtu anayemwamini anahitaji kubatizwa pia.

Yesu anawaamuru wafuasi wake mwishoni mwa Injili ya Mathayo:
“... mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.” (Mathayo 28:19)

Maana ya mstari huu inakuwa wazi katika Matendo ya Mitume 2:38 (mstari wa kumbukumbu):

Neno “ubatizo” linamaanisha “kuzamisha” kama utakaso au kuosha. Kama vile Yesu alivyobatizwa, kila mtu anayemwamini anahitaji kubatizwa pia.

Yesu anawaamuru wafuasi wake mwishoni mwa Injili ya Mathayo:
“... Mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.” (Mathayo 28:19)

Maana ya mstari huu inakuwa wazi katika Matendo ya Mitume 2:38 (mstari wa kumbukumbu):

Corrections

3 corrections:

• Ensure correct Swahili quotes (example: “quote”) (3x)

The following changes were made by CorrectBot - you don't need to do anything about them, this is just for your information. You can also look at the version history of Baptism/sw and compare revisions.

Translations:Baptism/15/sw

Yesu hakuwa na dhambi ya kutubia, bali alitaka kubatizwa na Yohana ili awe mfano kwetu sisi kuufuata na kuonyesha kwamba alikubaliana na ujumbe wa Yohana. Mwanzoni Yohana hakutaka kumbatiza Yesu na akamwambia, "Mimi nahitaji kubatizwa na wewe!" Yohana alijua kwamba Yesu alikuwa mkuu sana kuliko yeye. Hata hivyo, baada ya Yesu kumwambia Yohana kwamba lilikuwa jambo linalofaa kufanya, Yohana alikubali kumbatiza.

Yesu hakuwa na dhambi ya kutubia, bali alitaka kubatizwa na Yohana ili awe mfano kwetu sisi kuufuata na kuonyesha kwamba alikubaliana na ujumbe wa Yohana. Mwanzoni Yohana hakutaka kumbatiza Yesu na akamwambia, Mimi nahitaji kubatizwa na wewe! Yohana alijua kwamba Yesu alikuwa mkuu sana kuliko yeye. Hata hivyo, baada ya Yesu kumwambia Yohana kwamba lilikuwa jambo linalofaa kufanya, Yohana alikubali kumbatiza.

Translations:Baptism/6/sw

Neno "ubatizo" linamaanisha "kuzamisha" kama utakaso au kuosha. Kama vile Yesu alivyobatizwa, kila mtu anayemwamini anahitaji kubatizwa pia.
Yesu anawaamuru wafuasi wake mwishoni mwa Injili ya Mathayo:
"... mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu." (Mathayo 28:19)
Maana ya mstari huu inakuwa wazi katika Matendo ya Mitume 2:38 (mstari wa kumbukumbu):

Neno ubatizo linamaanisha kuzamisha kama utakaso au kuosha. Kama vile Yesu alivyobatizwa, kila mtu anayemwamini anahitaji kubatizwa pia.
Yesu anawaamuru wafuasi wake mwishoni mwa Injili ya Mathayo:
... mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. (Mathayo 28:19)
Maana ya mstari huu inakuwa wazi katika Matendo ya Mitume 2:38 (mstari wa kumbukumbu):

Translations:Baptism/21/sw

Ubatizo wa maji pia unaitwa “kuoshwa kwa kuzaliwa upya” (Tito 3:5).

Warumi 6:1-11 inaeleza maana hii:

Vile vile Yesu alizikwa na kisha kufufuka tena, tunaingia chini ya maji katika ubatizo na kutoka ndani ya maji na maisha mapya. Asili yetu ya zamani ya dhambi inakufa na sisi si tena "watumwa wa dhambi". Hiyo ina maana kwamba hatupaswi tena kutenda dhambi. Sasa sisi ni "kiumbe kipya" (2 Wakorintho 5:17). Katika ubatizo tunazika maisha yetu ya kale na maisha mapya yanaanza, maisha mapya kabisa yanayoongozwa na mfano wa Yesu.

Ubatizo wa maji pia unaitwa “kuoshwa kwa kuzaliwa upya” (Tito 3:5).

Warumi 6:1-11 inaeleza maana hii:

Vile vile Yesu alizikwa na kisha kufufuka tena, tunaingia chini ya maji katika ubatizo na kutoka ndani ya maji na maisha mapya. Asili yetu ya zamani ya dhambi inakufa na sisi si tena watumwa wa dhambi. Hiyo ina maana kwamba hatupaswi tena kutenda dhambi. Sasa sisi ni kiumbe kipya (2 Wakorintho 5:17). Katika ubatizo tunazika maisha yetu ya kale na maisha mapya yanaanza, maisha mapya kabisa yanayoongozwa na mfano wa Yesu.